MASHARTI
Michezo inajumuisha timu mbili za wachezaji 12, ikiwa na wachezaji 18 kwa kila upande kwa mda mmoja. Mpira huanza kwa siren (filimbi) inapolizwa na field umpire (wachezaji viongozi) kuweka mpira katikati ya uwanja. Mpira huu pia huwekwa katikati ya uwanja kuanza kila robo ya mpira na baada ya kuwa gori limefugwa.

MDA
Michezo imegawanyika katika robo nne za dakika 20, ukiongeza na mda wa ziada, na timu zinabadilishana upande kila baada ya robo ya mda.Timu zinajaribu kumiliki mpira na harafu kukimbia, kupiga na handball kuelekea upande wa magori yao, ambayo yako upande wa pili wa uwanja. Wachezaji wanaweza kukimbia a mpira kama tu wanatuliza mpira mara moja kila baada ya meta 15.

KUKIMBIZA MPIRA WA MIGUU
Wachezaji wanapeana mpira wao kwa wao wakitumia kupeana au handball. Handball inajumuisha kushikilia mpira katika mkono mmoja na kuupiga kwa kutumia ncha ya mkono ya mkono mwingine. Kama mchezaji anaweza mark mpira wa miguu (kwa kuushika kutoka katika mpigo ambao umesafiri kutoka kwa walau meta 15 hasa kama mpira haujagusa chini au kuguswa na mchezaji mwingine), anahaki ya set a kick na mpinzani haruhusiwi kumpinga mpaka amemaliza kuucheza.

KUKABILIANA
Mchezaji anaweza kushinda nafasi ya mpira kwa kukabiliana na mwingine. Upinzani halali unafanya kwa kumukabili mpinzani mwenye mpira, chini ya mabega na juu ya magoti. Wachezaji hawaruhusiwi kusukuma wenzao kutokea nyuma wakati wakikabiliana na wachezaji wanaokabiliwa ni lazima waweke mpira sehemu inafaa kwa mda (sekunde moja mpaka mbili). Mchezaji anayekabiliwa kinyume na sheria anapewa nafasi ya kupiga mpira kwa bure. Katika baadhi ya mazingira wakati mark au kupiga kwa bure kumetolewa, meta 50 za ziada za adhabu hutolewa kwa timu ya upande wa upinzani kama mchezaji bila makusudi akicheza au kumkose mwenye mpira.

KUFUNGA GORI
Lengo la mchezo ni kufunga gori. Hii ina maana kufunga gori kupitia tundu kwenye chuma kirefu (matundu ya magori) ili kupata alama sita. Kama mpira ukienda katikati ta matundu ya magori na mojawapo ya matundu ya nje (matundu ya nyuma), behinds (thamani ya alama moja) inashindiwa.

Inapokuja wakati wa kusoma au kuandika magori ya ushindi, magori yanahesabiwa kwanza, harafu behinds kufuatia na point zote. Kwa mfano, ushindi wa magori 10 na sita za behinds ni jumla ya alama 66 na inaandikwa 10.6 (66). Timu inayomaliza na magoli mengi na behinds anakuwa mshindi.

AFL the game